Cha muhimu kumweka Mungu mbele, aha!
Cha muhimu kuweka imani Kwake, enhe!
Haombwi mkate akampa mtu mawe, aha!
Haombwi mkate akampa mtu mawe
Kwa hivyo nawe mwamini Yawheh
Hivyo nawe mwamini Yawheh
Kwa maana ukimwita anasikia
Oh nikimwita anasikia
Anasema bisha (bisha), bisha (bisha)
Mlango atafungua
Utakacho itisha (itisha), itisha (itisha)
Hicho ndicho utapata
Nasema bisha (bisha), bisha (bisha)
Mlango atafungua
Utakacho itisha (itisha), itisha (itisha)
Hicho ndicho utapata
Manake namwita asubuhi namwita mchana namwita na jioni
Na mwingine sioni wa kuitika kila ninapomwita
Kwangu ni rafiki tena rafiki mwaminifu sana
Mwingine sioni wa kuitika kila ninapomwita aa
Namwita, namwita Yawheh
Nikilemewa namwita, namwita Yawheh
Ukilemewa mwite, mwite Yawheh
Aaa mwite mwite Yawheh
Nikimwita anasikia
Oh nikimwita anasikia
Anasema bisha (bisha), bisha (bisha)
Mlango atafungua
Utakacho itisha (itisha), itisha (itisha)
Hicho ndicho utapata
Nasema bisha (bisha), bisha (bisha)
Mlango atafungua
Utakacho itisha (itisha), itisha (itisha)
Hicho ndicho utapata
Manake ahadi zake ni kweli na amina
Ahadi zake hazivunjiki kamwe
Paulo na Sila siri walipata
Nami nakueleza omba utapata
Nikimwita anasikia
Oh nikimwita anasikia
Anasema bisha (bisha), bisha (bisha)
Mlango atafungua
Utakacho itisha (itisha), itisha (itisha)
Hicho ndicho utapata
Nasema bisha (bisha), bisha (bisha)
Mlango atafungua
Utakacho itisha (itisha), itisha (itisha)
Hicho ndicho utapata
Manake namwita asubuhi namwita mchana namwita na jioni
Na mwingine sioni wa kuitika kila ninapomwita
Kwangu ni rafiki tena rafiki mwaminifu sana
Mwingine sioni wa kuitika kila ninapomwita
Bisha bisha
Bisha bisha
Bisha bisha
Bisha bisha