Futa (Wipe Away)

Bahati, Mbosso

Added on : Jun 20, 2018

Futa (Wipe Away) – Bahati ft. Mbosso
Jun 20, 2018 Oluwasetemi
In Lyrics

Yale yale ya ujana maji ya moto n’kaukurupukia
(The same youth is like hot water I jumped on it)
Leo hii wawili watoto wanaiangalia (Today two children look to me)
Napambana sana na changamoto kuwatafutia
(I struggle with challenges to provide for them)
Nikikosa, mzazi mwenzangu anakuja moto (If I lack, my co-parent argues)
Matusi kunishushia (Verbally insults me)
Natumia nguvu kutafuta — jasho laloesha shati
(I use energy to search — sweat drenches my shirt)
Chini nikiziba ufa, juu linang’oka bati
(When I repair a crack on the floor, the roof leaks)
Zile ngo ngo kwa ndugu jama (The knock knock to my friends)
Zishaishanga mazima (mie) (Have completely stopped)
Miondondo mlezi wa wana (I have no help as the children guardian)
Lakini zali(zari?) sina (miee) (But I have no relief for myself)

Ama sauti yangu kwa mungu Baba, haisikiki?
(Is it because my prayers to Father God are not heard?)
Tuseme dua zangu mbingu ya saba, hazifiki?
(Shall we say my prayers to the seventh heaven, do not arrive?)

Response: Futa chozi, futa (Wipe the tears, wipe them)
Usiulize nalia nini (Do not ask why I cry)
Nahisi riziki yangu imepigwa pini (I feel like my provision have been stopped)
Iyeee lele lelile le
Mungu Baba nione (Father God, see me)

Nikiwa kazini akili zote zipo nyumbani
(When at work, all my attention is at home)
Nikiwa nyumbani wakusalishe, sina amani
(When at home they do not greet me(?), I have no peace)
Nakazana sana, kimziki (I struggle with my music)
Kweli napambana, kubahatisha riziki
(Truly I struggle in trying for provision)
Wanaomba mabaya wenye roho za choyo
(They pray ill for me those with selfish hearts)
Na ndugu zangu wakiwemo (My brothers included)
Napata fupa mi kibogoyo, Mungu ameninyima meno
(I get a bone, but I am toothless, God has withheld teeth for me)
Nikitazama watoto wangu, inje ya ndoa wamezaliwa
(When I look at my children, they were born out of wedlock)
Kwenye imani ya dini yangu, wanasema nishakosea
(In my religion’s faith, they say that I have sinned)

(Refrain)

Ama sauti yangu kwa Mungu Baba
(Is it because my voice to my Father God)
Tuseme dua zangu mbingu ya saba, hazifiki?
(Shall we say my prayers to the Seventh heaven do not arrive?)

Response: Futa chozi, futa (Wipe my tears, wipe them away)
Kuna muda naishiwa nguvu (There are times I lose strength)
Elimu sina kichwa mbumbumbu (I have no education, my brain is empty)
Naganga ganga njaa (I struggle with hunger)
Mungu wangu lini langu fungu? (My Father, when do I receive my portion?)

HOW HAS THIS IMPACTED YOUR LIFE?

Thank you for sharing. Show us some love by joining our community.

Send this to a friend