More of You X 4
[Chorus]
Nataka zaidi yako, (More of You)
Kazini kwangu (More of You)
Katika maisha yangu eh , (More of You)
(More of You)
(More of You) ei aha X 2
[Verse 2]
Wanadamu leo tunataka zaidi,
ukiwa na gari moja unataka (one more )
ukiwa na nyumba moja unataka (one more )
diploma kazi ndoa unataka (one more )
hatutosheki tena kila siku oh oh
Tafuteni kwanza , ufalme wa mbingu
na mengine yote tutapewa tayari,
ili ni ombi langu, haja ya moyo wangu
more of you,
Nataka zaidi yako
to connect ,
…some french ;)
(More of You) ei aha X 2
(Nikipenda , nikupende wewe Yesu,
Nikitafuta, nitafute zaidi yako
nikitaka, nikutake zaidi yako wewe yesu ehe.) X 2
Chorus
More of You X 4
(More of You) ei aha X 2
HOW HAS THIS IMPACTED YOUR LIFE?
0