Mapito (Trials)

Gloria Muliro

Added on : May 28, 2018

Mapito (Trials) – Gloria Muliro
May 28, 2018 Oluwasetemi
In Lyrics

 

Mimi nashangaa, kumbe wakati wa mapito (I’m amazed that it times of trials)
Mambo yote hubadilika (Things change)
Mimi nashangaa, kumbe wakati wa mapito,
Hata rafiki anakutoroka (Even your friend deserts you)
Mimi nashangaa, kumbe wakati wa mapito,
Hauna wa kukutia moyo (There is no one to encourage you)
Kweli nashangaa, kumbe wakati wa mapito,
Mambo yote hubadilika (All things change)?
Hizi miaka zote mpenzi (My Love all this years)
Tumekuwa tu vizuri (We have done well)
Lakini kuanza jana unabadilika (But you’ve changed since yesterday)
Hutaki kuniona, kunikaribia hutaki mpenzi (You don’t want to see me or be close to me)
Pesa, unasemanga kwamba sina pesa (Money. You say I do not have money)
Hizi miaka zote mpenzi (All these years, my love)
Leo ndio umefunguka macho (It is today that your eyes gave been opened)
Umeona kwamba mimi masikini, sinanga pesa (To see that I am poor without money)?

Afadhali uniache jinsi ulivyonipata (It is better to leave me as you found me)
Najua ni mapito tu, bwana ananishughulikia (I know these are trials, The Lord will act on my behalf)
Nasema siwezi, kumuacha mungu wangu (I say I cannot leave my God)
Juu yako mpenzi (Because of You my love)
Mungu wangu anani shughulikia tu (My God acts on my behalf)

Refrain:
Uchungu wa mwana ni mzazi aujuaye (The parent understands the child’s pain)
Mapito yangu, baba wa mbingu anaona (My Heavenly Father is a witness to my trials)
(Repeat)

Jamani, wakati wa mapito (Truly in times of trials)
Usingojee kupigiwa makofi (Do not expect to be applauded)
Bali kupigwa makofi (But to be slapped)
Jamani, wakati wa mapito (Truly in times of trials)
Usitarajie kutiwa moyo (Do not expect to be encouraged)
Bali kuvunjwa moyo (But for your heart to be broken)
Wakati wa mapito (In times of trials)
Usitarajia marafiki (Do not expect friendship)
Bali manafiki kibao (But a lot of enmity)
Utakapo pata kesho, wengine wao watakurudia (Tomorrow when You’re blessed, others will return to you)
Watasema wanakujua (They will say they knew you)
Watasema walisimama na wewe, usiwakemee (That they stood with you, do not rebuke them)
Mungu, mungu ndiye analipa (God, God is the one who avenges)

(Refrain)

Atatenda tu, tenda tu, yeye (He will act on your behalf)
Atatenda tu, tenda tu, yeye (He will act on your behalf)

(Refrain)

HOW HAS THIS IMPACTED YOUR LIFE?

Thank you for sharing. Show us some love by joining our community.

Send this to a friend