Mshipi (Belt)

Kwaya Kuu Ya Mtakatifu Cecilia (St. Cecilia Choir)

Added on : Jun 12, 2018

Mshipi (Belt) – Kwaya Kuu Ya Mtakatifu Cecilia (St. Cecilia Choir)
Jun 12, 2018 Oluwasetemi
In Lyrics

Ni nani aliye Mungu, Mungu ila Bwana
(Who is like God, if not the Lord?)
Ni nani aliye Mwamba, Mwamba ila Mungu
(Who is the rock, the Solid Rock if not God?)
Ni Mungu ndiye anifungaye mshipi wa nguvu, aha!
(It’s God who who girds me with strength)
Ni Mungu ndiye kimbilio la unyonge wangu, aha!
(It is God who is my refuge in my weakness)
Naye anaifanya kamilifu njia yangu
(He who makes my path complete)
Ni Mungu ndiye anifungaye mshipi wa nguvu, aha!
(It’s God who who girds me with strength)
Ni Mungu ndiye kimbilio la unyonge wangu, aha!
(It is God who is my refuge in my weakness)
Naye anaifanya kamilifu njia yangu
(He who makes my path complete)

Ni yeye Bwana aliye nguvu zangu nampenda sana
(He is the Lord with the strength, I love Him)
Ni yeye Jabali langu na boma langu na Mwokozi wangu
(He is my rock, my shelter and my Saviour)
Mungu wangu, mwamba wangu ninayemkimbilia
(My God, My rock whom I run to)
Ngao yangu, na pembe ya wokovu wangu, na ngome yangu
(My shield, the cornerstone of my salvation and my refuge)

(Refrain)

Katika shida zangu nilimwita Bwana “ee Bwana”
(In the midst of my trials I call the Lord “Oh Lord”)
Na kumlalamikia Mungu “ee Mungu”
(I bring my complaints to God “Oh God”)
Akaisikia sauti yangu hekaluni mwake
(He heard my voice in His Temple)
Kilio changu kikaingia masikioni mwake
(My cries reached His ears)

(Refrain)

Bwana alinitendea, sawasawa na haki yangu
(Lord dealt with me according to my rights)
Akanilipa sawasawa na haki yangu
(And He repaid me according to my rights)

(Refrain)

Nitamwita Bwana astahiliye kusifiwa
(I shall call upon the Lord who deserves the praise)
Hivyo nitaokoka na adui zangu
(And thus I shall be saved from my enemies)

(Refrain)

HOW HAS THIS IMPACTED YOUR LIFE?

Thank you for sharing. Show us some love by joining our community.

Send this to a friend