Nashukuru

Papa Sam

Added on : Nov 28, 2017

Nashukuru – Papa Sam
Nov 28, 2017 Oluwasetemi
In Lyrics

Yesu nashukuru kwa yote Umetenda
Hapa nimefika sio kwa nguvu zangu
Ni kwa nguvu zako Wewe ni Ebeneza x2

Wengi wamekufa nami ninaishi
Wengi ni wagonjwa nami ni mzima
Ni nani aliyenipa uzima kama sio Wewe
Ni nani anayesababisha nikiishi leo

Yesu nashukuru kwa yote umetenda
Hapa nimefika sio kwa nguvu zangu
Ni kwa nguvu zako Wewe ni Ebeneza x2

Kuamka kwangu asubuhi ni kwa neema Yako
Kulala kwangu jioni Mungu ni kwa neema Yako
Wangapi wanalala usiku asubuhi wanakua hawapo tena
Walio na pesa hawapo tena majina kubwa hawapo tena
Mimi ni nani umenipenda sana kanipa uzima naishi tu
Ninaposafiri kwenye magari unahakikisha nafika ninakoenda
Wakati wengi wanakufa kwenye ajali
Yesu wee,Yesu wee Yesu wee
Nashukuru Baba kutoka ndani ya moyo wangu
Nashukuru Baba ooh

Yesu nashukuru kwa yote umetenda
Hapa nimefika sio kwa nguvu zangu
Ni kwa nguvu zako Wewe ni Ebeneza x2

HOW HAS THIS IMPACTED YOUR LIFE?

Thank you for sharing. Show us some love by joining our community.

Send this to a friend