Ni Wewe Yesu

Esiciara Mueni

Added on : Dec 21, 2017

Ni Wewe Yesu – Esiciara Mueni
Dec 21, 2017 I-solo
In Lyrics

Wewe Yesu ni wewe peke yako
Yesu wewe ni wewe peke yako.
Wewe Yesu niwewe peke yako
Yesu wewe ni wewe peke yako

Ni wewe Yesu, ni wewe peke yako
Ni wewe Yesu, ni wewe peke yako

(*2)

Nitasifu milele, ni wewe peke yako
Nitaishi kuabudu ,ni wewe peke yako
Wakati wa shida, ni wewe tunaita
Wakati wa magonjwa, ni wewe daktari

Yesu peke yako ni wewe tunajua
Adui akiinuka ni wewe tunalilia
Yesu peke yako ni wewe tunajua
Adui akiinuka ni wewe tunalilia.

Bridge
Solo: Peke yako unatosha Yeesu wastahili
All: Ni wewe peke yako, ni wewe tunajua
Solo: bahari ya Shamu, ulifanya njia
All: Ni wewe peke yako, ni wewe tunajua
Solo: uinuliwe baba sifa na utukufu ni zako
Utukuzwe uinuliwe, milele
All: ni wewe peke yako, ni wewe tunajua

HOW HAS THIS IMPACTED YOUR LIFE?

Thank you for sharing. Show us some love by joining our community.

Send this to a friend