Hilo Jina – Lady Bee
Verse 1 Hakuna jina lingine tulilopewa lenye nguvu Hakuna jina lingine tulilopewa lenye mamlaka Hakuna jina lingine tulilopewa lenye uwezo Ila (Jina la Yesu) Hakuna hakuna jina lingine lenye nguvu (Jina la Yesu) Chorus J.E.S.U.S. (Jesus) Y.E.S.U. (Yesu) x2 Jina hilo (laponya) Jina hilo (laokoa) Jina hilo (lainua) Jina hilo (Yesu) Jina hilo hilo hilo […]