Intro
Vile mungu aligeuza[when the lord turned again]
Utumwani wa zayuni[the captivity of zion]
Ilikuwa kama tuotwavyo[we were like them that dream]
Ndipo vinywa vyetu vilijaa[then our mouth was filled ]
Na kicheko shangwe za kelele[with laughter and our tongue with singing]
Tukasema kwa mataifa [then we said among the nations]
Mungu wetu ametutendea[the lord has done us great things]
Mambo makuu twafurahia[whereof we are glad]
Tulicheka ah aha aha[we laughed ahahaha]
Tuliimba eye eye [we sang eyeyeyeye]
Tukisema bwana umetutendea makuu.[saying the lord has done us great things]
Tulicheka ah aha aha[we laughed ahahaha]
Tuliimba eye eye [we sang eyeyeyeye]
Tukisema bwana umetutendea makuu.[saying the lord has done us great things]
Instrumental
Kama sarah naye hanah[like sarah and hannah]
Huitwa tena tasa[you will never again be called barren]
Kama yabezi utabadilishwa[like Jabez u will be changed]
utaitwa mwenye Baraka[you will be called blessed]
Kama sarah naye hannah[like sarah and hannah]
Huitwa tena tasa[you will never again be called barren]
Kama yabezi utabadilishwa[like Jabez u will be changed]
utaitwa mwenye Baraka[you will be called blessed]
Tulicheka ah aha aha[we laughed ahahaha]
Tuliimba eye eye [we sang eyeyeyeye]
Tukisema bwana umetutendea makuu.[saying the lord has done us great things]
Tulicheka ah aha aha[we laughed ahahaha]
Tuliimba eye eye [we sang eyeyeyeye]
Tukisema bwana umetutendea makuu.[saying the lord has done us great things]
Instrumentals
Kama Paulo naye sila [like paul and silas ]
Hutaitwa tena mfungwa[you will you will not be called a prisoner]
Kila laana kila aibu[every curse and shame]
Hivi leo itabadilishwa[today will be reversed]
Utaimba na Utacheka [you will sing and laugh]
Utasema Bwana amenitendea[you will say the lord has done great things]
Tulicheka ah aha aha[we laughed ahahaha]
Tuliimba eye eye [we sang eyeyeyeye]
Tukisema bwana umetutendea makuu.[saying the lord has done us great things]
Tulicheka ah aha aha[we laughed ahahaha]
Tuliimba eye eye [we sang eyeyeyeye]
Tukisema bwana umetutendea makuu.[saying the lord has done us great things]
Instrumentals
Judah Judah Judah Ehhh Judah Judah Judah Ehhh Judah Judah Judah Ehhh Judah Judah Judah Ehhh Judah Judah Judah Ehhh…
Intro Just a little time we will leave this world, Just a little time and we will live no more…
You beautify me you sustain me you glorify yourself in my life Iwo ni adun aye mi You show up…
For we are not drunk with wine in excess but we are filled with the Holyghost we are not drunk…
Thank you thank you thank you I have come to thank you Lord you have been so good to me…
Baba I thank you o o o I thank you o o o I thank you o o o I…
Leave a Comment