Verse 1
Hakuna jina lingine tulilopewa lenye nguvu
Hakuna jina lingine tulilopewa lenye mamlaka
Hakuna jina lingine tulilopewa lenye uwezo
Ila (Jina la Yesu)
Hakuna hakuna jina lingine lenye nguvu
(Jina la Yesu)
Chorus
J.E.S.U.S. (Jesus)
Y.E.S.U. (Yesu) x2
Jina hilo (laponya)
Jina hilo (laokoa)
Jina hilo (lainua)
Jina hilo (Yesu)
Jina hilo hilo hilo (laponya)
…(laokoa)
Jina hilo (lainua)
Ni njia ya mbinguni
Verse 2
Petero Yohana pale mlango Mzuri
Kapata kilema kakaa pale akiomba
Akawaomba pesa jamani
Akidhani ni pesa anahitaji
Pesa mimi sina lakini nina Jina
Kwa Jina la Yesu inuka tembea
Pesa mimi sina lakini nina Jina
Kwa Jina la Yesu inuka tembea
Akatembea
(Chorus)
Verse 3
Ndoa yasumbua ita Jina la Yesu
Magonjwa yasumbua, ita Jina la Yesu
Kazi hujapata, ita Jina la Yesu
Mtoto hujapata, ita Jina la Yesu
Mambo yote ita Jina la Yesu
Anaweza, ita Jina la Yesu
Alishinda kifo, ita Jina la Yesu
Yesu ee, ita Jina la Yesu
Anaweza, ita Jina la Yesu
Mambo yote, ita Jina la Yesu
Anaweza, ita Jina la Yesu
Mambo yote, ita Jina la Yesu
(Chorus)
Oh Yesu ndiye Njia, Njia ya Mbinguni
Hakuna ajaye kwa Baba bila hilo Jina
Yesu ndiye Njia, Njia ya Mbinguni