Lyrics

Hilo Jina – Lady Bee

Verse 1
Hakuna jina lingine tulilopewa lenye nguvu
Hakuna jina lingine tulilopewa lenye mamlaka
Hakuna jina lingine tulilopewa lenye uwezo
Ila (Jina la Yesu)
Hakuna hakuna jina lingine lenye nguvu
(Jina la Yesu)

Chorus
J.E.S.U.S. (Jesus)
Y.E.S.U. (Yesu) x2
Jina hilo (laponya)
Jina hilo (laokoa)
Jina hilo (lainua)
Jina hilo (Yesu)
Jina hilo hilo hilo (laponya)
…(laokoa)
Jina hilo (lainua)
Ni njia ya mbinguni

Verse 2
Petero Yohana pale mlango Mzuri
Kapata kilema kakaa pale akiomba
Akawaomba pesa jamani
Akidhani ni pesa anahitaji
Pesa mimi sina lakini nina Jina
Kwa Jina la Yesu inuka tembea
Pesa mimi sina lakini nina Jina
Kwa Jina la Yesu inuka tembea
Akatembea

(Chorus)

Verse 3
Ndoa yasumbua ita Jina la Yesu
Magonjwa yasumbua, ita Jina la Yesu
Kazi hujapata, ita Jina la Yesu
Mtoto hujapata, ita Jina la Yesu
Mambo yote ita Jina la Yesu
Anaweza, ita Jina la Yesu
Alishinda kifo, ita Jina la Yesu
Yesu ee, ita Jina la Yesu
Anaweza, ita Jina la Yesu
Mambo yote, ita Jina la Yesu
Anaweza, ita Jina la Yesu
Mambo yote, ita Jina la Yesu

(Chorus)

Oh Yesu ndiye Njia, Njia ya Mbinguni
Hakuna ajaye kwa Baba bila hilo Jina
Yesu ndiye Njia, Njia ya Mbinguni

HOW HAS THIS IMPACTED YOUR LIFE?

Tags: Kenyan
Oluwasetemi

interest in coding and code education volunteer @Gospellyrics

Leave a Comment

Recent Posts

Judah – Dunsin Oyekan

Judah Judah Judah Ehhh Judah Judah Judah Ehhh Judah Judah Judah Ehhh Judah Judah Judah Ehhh Judah Judah Judah Ehhh…

6 days ago

Just a little time – Mark F Haggai

Intro Just a little time we will leave this world, Just a little time and we will live no more…

1 week ago

Adun – Sunmisola Agbebi X Yinka Okeleye

You beautify me you sustain me you glorify yourself in my life Iwo ni adun aye mi You show up…

1 week ago

Omi Iye – Paul Tomisin

For we are not drunk with wine in excess but we are filled with the Holyghost we are not drunk…

1 week ago

Thank You (Live) – Joe Mettle

Thank you thank you thank you I have come to thank you Lord you have been so good to me…

1 week ago

Baba We Thank You o – Nathaniel Bassey

Baba I thank you o o o I thank you o o o I thank you o o o I…

1 week ago