Ni Salama (It is Well)

Lilian, Wilberforce

Added on : May 22, 2018

Ni Salama (It is Well) – Wilberforce ft. Lilian
May 22, 2018 Oluwasetemi
In Lyrics

Nionapo amani kama shwari (When peace like a river)
Ama nionapo shida (When sorrows like sea billows roll)
Kwa mambo yote umenijulisha Yesu Wangu
(Whatever my lot, thou hast taught me to say)
Ni salama rohoni mwangu (It is well with my soul)

Refrain:
Ni salama rohoni (It is well with my soul)
Ni salama rohoni mwangu (It is well with my soul)
(Repeat)

wa shetani ananitesa (Though Satan should buffet)
Nitajipa moyo kwani (Let this blest assurance control)
Kristo ameuona unyonge wangu mwanadamu
(That Christ has regarded my helpless estate)
Amekufa kwa roho yangu (And has shed his own blood for my soul)

(Refrain)

Dhambi zangu zote wala si nusu (My sins not in part but the whole)
Na Yesu zimewekwa msalabani (Is nailed to the Cross)
Wala sichukui laana yake (And I bear it no more)
Ni salama rohoni mwangu (It is well with my soul)

(Refrain)

Ee Bwana himiza moyo wangu siku ya kuja
(O Lord, haste the day when my faith shall be sight)
Ee Parapanda Yako itakapolia (The trumpet shall resound)
Najua siku utakaposhuka sitaogopa
(I know that when You descend, I shall not fear)
Ee ni salama rohoni mwangu (For it is well with my soul)

(Refrain)

HOW HAS THIS IMPACTED YOUR LIFE?

Thank you for sharing. Show us some love by joining our community.

Send this to a friend