Nifunze (Teach me)

Mercy Masika

Added on : Dec 7, 2017

Nifunze (Teach me) – Mercy Masika
Dec 7, 2017 Oluwasetemi
In Lyrics

Baba nichukue, nifunze (Father take me and teach me)
Nataka kusoma, Kwa shule Yako (I want to study in your school)
Kwa shule Yako (Your school)
(Repeat)

Nikiwa nawe kama mwalimu (Having you as my Teacher)
Ninajua nitahitimu (I know I will qualify)
Nitashinda adui akileta majaribu (I will defeat the enemy’s temptation)
Unitayarishe, unibadilishe (Prepare me, change me)
Mtihani nipite, mwito nitimize (To pass my trials, and fulfill my calling)
Nijue kuandika (To know how to write)
Niandike maono yangu (That I may write my visions )
Nijue kuhesabu (To know how to count)
Nihesabu baraka zako (That may count Your blessings )
Nijue kuongea (To know how to speak)
Nihubiri neno lako (That I could preach your Word)
Kwa watu wako (To Your People)

(Refrain)

Shule Yako hatundanganywi (There is no lying in your School)
Ni ukweli na uwazi (Only truth and transparency)
Wanafunzi hawagomi (Students do not need to strike)
Mwalimu atujali (For the Teacher cares for us)
Unifunze nidhamu, Wote niwaheshimu (Teach me discipline, for all to respect me)
Yesu ni Mwalimu, Yesu ni Mwalimu’ (Jesus is the Teacher, Jesus is the Teacher)
Nijue kuandika (To know how to write)
Niandike maono yangu (That I may write my visions )
Nijue kuhesabu (To know how to count)
Nihesabu baraka zako (That may count Your blessings )
Nijue kuongea (To know how to speak)
Nihubiri neno lako (That I could preach your Word)
Kwa watu Wako (To Your People)

(Refrain)

HOW HAS THIS IMPACTED YOUR LIFE?

Thank you for sharing. Show us some love by joining our community.

Send this to a friend