Upendo(Love)

Mercy Masika

Added on : Jan 29, 2018

Upendo(Love) – Mercy Masika
Jan 29, 2018 Oluwasetemi
In Lyrics

Ni mwaka mwingine tena (It is another year)
Nipepitia milima na mabonde (That I have passed through mountains and valleys)
Lakini tumevuka, (But we have passed)
Tumeshinda kwa neema yake (We have won by His Grace)
Siku yangu imefika (My day has arrived)
Na ninaimba Haleluya (And I sing Hallelujah)

Kubarikiwa sio mali (To be blessed is not riches)
Ni kunyenyekea (It is in submission)
Na kumpata Yesu (And finding Jesus) (Repeat)

Refrain:
Ni Yesu tu, sababu ya majira (It is Jesus, the reason for seasons)
Ni Yesu tu, twasherekea (It is Jesus, that we celebrate)
Ni Yesu tu, mkombozi wetu (It is Jesus, our Saviour)
Acha upendo wake utambae (Let his Love flow)x2

Mungu kapenda ulimwengu (For God loved the world)
Katupa mwanawe Yesu aje (That He gave His Son to come)
Kwa sababu yetu sisi (For our sakes)
Kwa upendo kutuokoa (By Love to save us)
Tumehurumiwa, basi wote tufurahie (We have been forgiven, let us all rejoice)

Kubarikiwa sio mali (To be blessed is not riches)
Ni kunyenyekea (It is in submission)
Na kumpata Yesu (And finding Jesus) (Repeat)

(Refrain)

Umepata Yesu? Sema yeah (Have you received Jesus? Say Yeah!) x2
Amekuokoa? sema yeah (Has he saved you? Say Yeah!) x2

(Refrain)

Upendo wa ajabu (utambae) (His great Love (let it flow))
Upendo wa Yesu (utambae) (The Love of Jesus (let it flow))
Wacha upendo wake utambae (Let his Love flow)

HOW HAS THIS IMPACTED YOUR LIFE?

Thank you for sharing. Show us some love by joining our community.

Send this to a friend