[songtitle]

[Artiste]

SHARE
TWEET
EMAIL
SHARE
PRINT

Salama,salama
Ooh ni salama
Kwake Yesu ni salama x2

Napiga magoti leo
Nikileta mahitaji yangu Kwako
Baba nisikie na Unijibu
Maana sina mwingine
Wa kwenda nimuombe anibariki
Ila ni Wewe nakuomba Baba jibu mahitaji yangu

Salama ,salama
Ooh ni salama
Kwake Yesu ni salama x2

Wewe ni Jehovah Shammah
Unaelewa mapito yetu na uzima wetu kila siku
Oh, tumekuja Baba kusema
Usichukue muda mrefu kutubariki na baraka zako
Ndio maana tunasema

Salama ,salama
Ooh ni salama
Kwake Yesu ni salama x2

twitter.com/abeddy_ngosso

www.facebook.com/abeddy.ngosso

HOW HAS THIS IMPACTED YOUR LIFE?

SHARE
TWEET
EMAIL
SHARE
PRINT