Salama (It is Well)

Abeddy Ngosso

Added on : Mar 13, 2018

Salama (It is Well) – Abeddy Ngosso
Mar 13, 2018 Oluwasetemi
In Lyrics

Refrain:
Salama, salama oh ni salama (It is well, oh it is well)
Kwake Yesu ni salama (In Jesus all is well) (Repeat)

Napiga magoti leo (I am on my knees today)
Nikileta mahitaji yangu kwako (Bringing my needs before You)
Baba nisikie na unijibu (Father listen and answer me)
Maana sina mwingine wa kwenda
(For I have none other to go before)
Nimuombee anibariki ila ni wewe
(To pray that I may be blessed but You)
Nakuomba Baba jibu maombi yangu
(Father I pray, answer my prayers)

(Refrain)

Wewe ni Jehova Shammah (You are the Lord who is there)
Unaelewa mapito yetu (You understand our steps)
Na uzima wetu kila siku (And our daily lives)
Tumekuja Baba kusema (Father we have come to say)
Usichukuwe muda mrefu kutubariki
(Do not take long to bless us)
Na baraka zako, ndio maana tunasema
(With Your blessings, that is why we say)

(Refrain)

Response: The Refrain
Biashara yako (Your blessings)
Na jamii yako (Your family)
Hata ndoa yako (Even your marriage)
Masomo yako pia (Your studies)
Huduma yako pia (Your ministry)
Mipango yote pia ni (All your plans)
Ukikosa kazi ni salama (If you lack a job, it is well)
Ukivunjika moyoni (If you are broken-hearted)
Mienendo yangu (My steps)
Maisha Yangu (My life)
Ni salama kwake Yesu… (Is well in Jesus)

HOW HAS THIS IMPACTED YOUR LIFE?

Thank you for sharing. Show us some love by joining our community.

Send this to a friend