Tambarare (Flat Plains)

Eunice Njeri

Added on : Jan 15, 2018

Tambarare (Flat Plains) – Eunice Njeri
Jan 15, 2018 Oluwasetemi
In Lyrics

Giza mbele, na mauti nyuma (Darkness ahead, and death behind you)
Pande zote huona umeshindwa kwamba nini (All around you see defeat)
Pesa hakuna – mali umenyang’anywa (You have no money – Your property’s seized)
Wamekukimbia uliowategemea (They’ve abandoned you, those you depended on)
Nasikia sauti kilio cha Yesu (I hear Jesus’ cry)
“Njooni kwangu mlio na mizigo (“Come to me all who are heavy leaden)
N’tawapumzisha hakuna kilio tena (I will give you rest, no more tears)
N’tawapumzisha mtaimba haleluya” (I will give you rest, you will sing Halelujah”)

Refrain:
“N’taifanya milima tambarare (I will flatten the hills)
N’tayafanya mabonde yote yajae (I will fill the plains)
N’tanyosha sawa njia zote” (I will straighten all paths)
Wanadamu, wokovu tutauona eeh (Mankind, we shall witness His salvation)

Nayafanya mambo yote mapya eh (I make all things new)
Tazama natenda kitu kipya leo (Look, I do a new thing today)
Imba kwa shangwe! wewe uliye tasa (Sing with joy! You who are barren)
Shangilia sana! wewe uliye tasa (Rejoice! You who is barren)
Panua nafasi imani mwako (Add space in your faith)
Tandaza na pazia hapo unapoishi (Spread your tent (?) Where you live)
Utapanuka kila upande (You shall be blessed on all sides)
Wazawa wako wamiliki mataifa (Your descendants will occupy nations)

(Refrain)

Mungu wee, we Mungu (Oh God)
Mungu wangu wewe, Unaweza (Oh my God, You are able)
Hakuna linalikushinda, unaweza (Nothing can defeat You, You are able)
Yesu we, Yesu we, Unaweza (Jesus, You are able) x?
Jehova Shammah, Unaweza (My Present God, You are able)
Jehova Rapha, Unaweza (The God Who heals, You are able)
Jehova Nissi, Unaweza (The Lord is my Banner, You are able)
El Shaddai, Unaweza (God Almighty, You are able)

HOW HAS THIS IMPACTED YOUR LIFE?

Thank you for sharing. Show us some love by joining our community.

Send this to a friend