Ujulikane (For You to be Known)

Alice Kimanzi, Karwirwa Laura

Added on : Apr 13, 2018

Ujulikane (For You to be Known) – Karwirwa Laura ft. Alice Kimanzi
Apr 13, 2018 Oluwasetemi
In Lyrics

Verse 1

Nisijione mkamilifu, kwa nguvu zangu
(That I would not see myself perfect by my might)
Nitaweza pekee yangu (To think that I can do it by myself)
Nisiamini hekima yangu, Juhudi zangu
(That I may not trust my wisdom, and my effort)
Nikutazamie Mungu (To look to You God instead)
Watao nisikia wakinishangilia (When those who listen to me praise me)
Niwaelekeze kwako (That I may lead them to You)
Watakao nifuata, nikikufuata (Those who follow me as I follow You)
Tuje kwako (Let us come to You)

Refrain:
Na chochote kile, kitaenda sawa (And anything that goes well)
Siombi ni wewe ujulikane (I only pray that you will be known)
Na popote pale, nitaenda Baba (And in everywhere I go, Father)
Siombi ni wewe, ujulikane (I only pray that You be known)
Ujulikane x2 Ewe Yesu, ujulikane
(For You to Be known, Jesus for You to be known)
Ujulikane x2 Ewe Yesu, ujulikane
(For You to Be known, Jesus for You to be known)

Verse 2

Kwa maneno yangu, tena matendo yangu
(In my words and in my actions)
Natamani wewe ujulikane (I desire that You be known)
Kama vile maji, yafunikavyo bahari
(Like the waters fill the ocean)
Natamani wewe ujulikane (I desire that You be known)
Uokoe waliofungwa, wenye waliozidiwa
(Save the imprisoned, the overwhelmed)
Uinue waliolemewa, hakuna usichokiweza Baba
(Lift up the overwhelmed, nothing is impossible to You Father)

(Refrain)

Uokoe waliofungwa (For You to save the imprisoned)
Uwaponye waliozidiwa (For You to heal the overwhelmed)
Uinue waliolemewa (For You to Lift the defeated)
Baba ujulikane (Father that You will be known)

(Refrain)

Ujulikane, ujulikane (For You to be known)
Ewe Yesu, ujulikane (Jesus, for You to be known) (Repeat)

HOW HAS THIS IMPACTED YOUR LIFE?

Thank you for sharing. Show us some love by joining our community.

Send this to a friend