Yuko Mungu

Alice Kimanzi

Added on : Feb 1, 2021

Yuko Mungu – Alice Kimanzi feat. Paul Clement
Feb 1, 2021 Abimbola Tolulope
In Lyrics

VERSE 1:
Giza totoro yanizingira
Miale haijanifikia
Ilhali kumekucha, pambazuka
Imani, yashuka yadidimia
Amani nayo yafifia
Eloi lama sabachthani

CHORUS:
Yuko Mungu anayeweza
Yuko Mungu anayetenda
Mwamini Yeye, mwamini Yeye
Hutoaibika

VERSE 2:
Giza likiwa ni zito Bwana atawasha taa
Sababu Yeye ni Mungu mwenye amandla
Atarejesha amani, atarejesha furaha
Ulivyo vipoteza kwa muda mrefu atarejesha mara…

BRIDGE:
Pale ninaposhindwa nani wakuni wezesha
(Mungu Pekee, ndiye awezaye)
Na nikiwa vitani nani wakunishindia
(Mungu Pekee, ndiye awezaye)
Napokuwa mdhaifu, nani wakunipa nguvu
(Mungu Pekee, ndiye awezaye)
Ninapotia shaka, nani wakuniongoza
(Mungu Pekee, ndiye awezaye)

Yuko Mungu, Mungu yuko….

HOW HAS THIS IMPACTED YOUR LIFE?

Thank you for sharing. Show us some love by joining our community.

Send this to a friend