[songtitle]

[Artiste]

SHARE
TWEET
EMAIL
SHARE
PRINT

Neema yako, yanitosha
Ukuu wako wanitosha
sina chochote, chakujivunia
Imani yako yanitosha (X2)

Sina chochote
Chakujivunia ila uwepo wako Bwana,
Sina lolote la kujivunia ila upendo wako Bwana. (X2)

Nguvu zako zanitosha
Wema wako wanitosha
sina chochote chakujivunia
Fadhili zako zanitosha (X2)

Sina chochote
Chakujivunia ila uwepo wako Bwana,
Sina lolote la kujivunia ila upendo wako Bwana. (X2)

Sina chochote
Chakujivunia ila uwepo wako Bwana,
Sina lolote la kujivunia ila upendo wako Bwana. (X2)
Ila upendowako Bwana
Ila upendo wako Bwana

HOW HAS THIS IMPACTED YOUR LIFE?

SHARE
TWEET
EMAIL
SHARE
PRINT