Wakati Wa Mungu (God’s Time)

Guardian Angel, Paul Clement

Added on : Apr 13, 2018

Wakati Wa Mungu (God’s Time) – Paul Clement ft. Guardian Angel
Apr 13, 2018 Oluwasetemi
In Lyrics

Verse 1

Kwani we bratha unaombanga vipi?
(How do you pray my brother?)
Mbona ya kwangu hayasikiki?
(Why are my prayers not heard?)
Nafunga daily na bado nashindwa vipi?
(I fast daily, how is it that I am still defeated?)

Verse 2

Wakati wa Mungu, nikama tsunami ya maji
(God’s Time is like a Tsunami of water)
Ukuta hauwezi kuzuia – lazima utabomoka
(A wall cannot prevent it – it must crumble)
Wakati wa Mungu, nikama upepo mkali
(God’s Time is like a mighty wind)
Mlango hauwezi kuzuia – lazima utafunguka
(A door cannot prevent it – it must open)
Wakati wa Mungu, humpata kila mtu
(God’s time reaches every one)
We kuwa na subira, andika haya kwenye shajara
(You be patient, write this in your diary)
Wakati wa Mungu ukikujilia mazingira si kitu yapinge
(When God’s Time comes to you, environment is nothing – oppose it)
Wakati wa Mungu ukikujilia mwanadamu ni nani apinge?
(When God’s Time comes to you, who is human to oppose it?)

Refrain:
Usichoke ngoja (Do not tire, wait)
Ngoja (ngoja) (Wait)
Ukujilie (For it to come to you)
Wewe subiri tu (You just wait) (Repeat)

Verse 3

Yo Nilisoma na ma guys na washapata ma kazi
(I went to school with some guys who already have jobs)
Mwanafu anapata fursa ya kula cha mkufuu
(The student has had the opportunity to enjoy the teacher’s privilege)
Mimi bado nauliza kama nitawai pata nafuu
(I still ask if I will ever find relief)
Ama kweli talanta itafanya nile na wakuu?
(Or if my talent would make me eat with the greats?)
Wakati waa Mungu je utawai nifikia,
(Will God’s Time ever arrive for me)
Baraka zangu niweze kuzipokea?
(For me to receive all my blessings?)
Wakati wa Mungu kweli utakufikia
(When God’s time truly will arrive for you)
Baraka zako ueze kuzipokea
(For you to receive all your blessings)
Nimechoka kungoja
(I am tired of waiting)

(Refrain)

Bridge:
Shida juani natamani kivulini,
(There is hardship in the sun, I desire the shade)
Nipate amani ooh.. (To receive peace)
Jua Mungu ni mti wenye kivuli kizuri
(Know that God is a Tree with a pleasing shadow)
Ni mti wenye uzima na kweli
(He is a tree with Life and Truth)
Wakati wa Mungu hufanya njia jangwani
(God’s time makes way in the jungle)
Mito ya maji nyikani (Streams of water in the desert)
Wakati wake hauna upinzani (His Time does not have opposition)
Kumbe wakati wa Mungu (Truly God’s Time)
Huwafanya adui zangu kuwa rafiki zangu
(Turns my enemies into my friends)
Kila kitu huwa raisi hata vilivyo shindikana
(Everything becomes easy, even those that are futile)

HOW HAS THIS IMPACTED YOUR LIFE?

Thank you for sharing. Show us some love by joining our community.

Send this to a friend