Jina Lako (Your name) – Lisa Pitkin

Nani aliye kama wewe mwokozi Yesu Hakuna nguvu kama zako, wewe utuongoza.. Hakuna mwingine anastahili sifa zetu, hakuna jina lina okowa ila Lako Nashukuru dhabihu ya ibaada yako Nashukuru upendo wako Nainua Jina Lako Nainua Jina Lako Yesu x2 Jina Lako x3 Nainua Jina Lako Nashukuru dhabihu ya ibaada Yako Nashukuru neema yako Nainua Jina […]

Wanitosha – Jason Kinyua

Neema yako, yanitosha Ukuu wako wanitosha sina chochote, chakujivunia Imani yako yanitosha (X2) Sina chochote Chakujivunia ila uwepo wako Bwana, Sina lolote la kujivunia ila upendo wako Bwana. (X2) Nguvu zako zanitosha Wema wako wanitosha sina chochote chakujivunia Fadhili zako zanitosha (X2) Sina chochote Chakujivunia ila uwepo wako Bwana, Sina lolote la kujivunia ila upendo […]

This Year – Ringtone Apoko ft. Ada Ehi

Refrain: Naona this year eeh, nitabarikiwa (I foresee that this year I will be blessed) Naona this year aah, wewe utashinda (I foresee that this year, you shall win) (Repeat) Kama chakula we pakua hadi sahani ijae (If food, serve your plate until it is full) Kama ni party we furahia na ushukuru Mungu (If […]

Nashukuru – Papa Sam

Yesu nashukuru kwa yote Umetenda Hapa nimefika sio kwa nguvu zangu Ni kwa nguvu zako Wewe ni Ebeneza x2 Wengi wamekufa nami ninaishi Wengi ni wagonjwa nami ni mzima Ni nani aliyenipa uzima kama sio Wewe Ni nani anayesababisha nikiishi leo Yesu nashukuru kwa yote umetenda Hapa nimefika sio kwa nguvu zangu Ni kwa nguvu […]

Maneno – Rebekah Dawn

Wakati mwingine nikiketi kukuimbia mie Huwa nalemewa kupata maneno yanayoshimiri Ni kama mtoto mchanga anapojaribu kueleza ukubwa wa sayari Ni kama kidege kinapojaribu kueleza upana wa mbingu Ni kama changarawe kujaribu kueleza ukubwa wa bahari Ukweli ni kwamba maneno yangu hayatoshi, hayawezi kueleza Hivyo daima na milele siku zote za maisha yangu Nitatafuta kukuimbia maneno […]

Mapocho – Size 8 Reborn

I am so blessed to a point I can’t explain It’s like am living in a dream These blessings are called mapochopocho Coz they are extra things I didn’t deserve Mapochopocho (pocho) Pochopocho (mapocho) x4 You don’t deserve the clothes you wear You don’t deserve the air that you breathe You don’t deserve the laughter […]

Bisha – Janet Otieno

Cha muhimu kumweka Mungu mbele, aha! Cha muhimu kuweka imani Kwake, enhe! Haombwi mkate akampa mtu mawe, aha! Haombwi mkate akampa mtu mawe Kwa hivyo nawe mwamini Yawheh Hivyo nawe mwamini Yawheh Kwa maana ukimwita anasikia Oh nikimwita anasikia Anasema bisha (bisha), bisha (bisha) Mlango atafungua Utakacho itisha (itisha), itisha (itisha) Hicho ndicho utapata Nasema […]

Ameni – Eunice Njeri

Usifiwe Mungu Muumba mbingu na nchi yote Amen (amen) amen Jehovah Adonai Jehovah El-Shadai Amen (amen) amen Uko kila mahali Baba dunia yakutambua Amen (amen) amen Ukisema Yawheh nani apingane nawe Amen (amen) amen Halelluyah (halleluyah) Halleluyah (halleluyah) Wewe ni Mungu Mfalme Bwana wa mabwana Halelluyah (halleluyah) Halleluyah (halleluyah) Wewe ni Mungu Mfalme Bwana wangu […]

Salama – Abeddy Ngosso

Salama,salama Ooh ni salama Kwake Yesu ni salama x2 Napiga magoti leo Nikileta mahitaji yangu Kwako Baba nisikie na Unijibu Maana sina mwingine Wa kwenda nimuombe anibariki Ila ni Wewe nakuomba Baba jibu mahitaji yangu Salama ,salama Ooh ni salama Kwake Yesu ni salama x2 Wewe ni Jehovah Shammah Unaelewa mapito yetu na uzima wetu […]

Mungu Wangu – Freke Umoh ft. Voices of Purpose, Kenya

Wewe Hulinganishi (You are uncomparable) Tunakupenda Yesu (We love you Jesu) Mungu Wangu (Oh Lord my God) Mungu Wangu (Oh Lord my God) Siwezi Pata Kama wewe (I can never find nobody like you) Bwana Wangu (Oh lord my Lord) Bwana Wangu (Oh Lord my Lord) Siwezi Pata kama wewe (I can never find nobody […]